Suluhu rahisi zenye zana rahisi kutumia

Urahisi ndio msingi wa iLoveIMG. Muundo wetu rafiki na zana rahisi kueleweka humwezesha hata mtumiaji wa mara ya kwanza kuvinjari na kukamilisha kazi bila vikwazo vyovyote vya kiufundi.

Vipengele

Kilicho muhimu kwako, ni muhimu kwetu pia

Linapokuja suala la kushughulikia faili zako, ni jukumu na wajibu wetu kutoa huduma bora zaidi iwezekanavyo

Umuhimu wa faili

Tunajitahidi kukuletea ukubwa mdogo zaidi wa faili huku tukidumisha ubora wake kuwa wa juu zaidi.

Usalama wako ndio kipaumbele chetu

Ili kupambana na wizi wa faili, tunafuta moja kwa moja kumbukumbu zako zote ndani ya saa mbili.

Tutakusaidia kuokoa muda na juhudi

Faida kutokana na muda uliotumika vyema

Ingawa haitachukua muda mrefu kabisa, tunakuhakikishia hilo

Tutakusaidia kuokoa muda na juhudi

Tunaamini kuwa unapaswa kutumia muda mwingi zaidi nje ukipiga picha kuliko kuzihariri. Seva zetu hupakia, huchakata na kupakua faili zako kwa kasi ya juu. Kwa hivyo, alimradi tu una muunganisho mzuri wa intaneti, picha zako zitaonekana ndani ya muda mfupi sana.

Dhibiti picha zako kwa uhuru

Hariri, chakata, punguza, badilisha, punguza ukubwa, wekea fremu, n. k. picha zako kwa mkupuo. Chaguzi zinazopatikana ni nyingi na unaweza kufanya hivyo ukitumia kiolesura safi kinachokupa urahisi mkubwa unapozifanyia kazi.

Usiwe na wasiwasi, uko salama ukiwa nasi

Tunajua mtandao ni mahali panapochanganya na wakati mwingine pa kutisha, lakini tumekuhakikishia usaidizi kwenye kila nyanja

Hifadhi data ukiwa unafanya kazi moja kwa moja kwenye wingu

Google Drive na Dropbox imejumuishwa nasi. Hii inakuwezesha kupakua faili zako kutoka kwenye wingu kwenda kwenye ukurasa wetu. Baada ya kuchakata, unaweza kuzihifadhi tena kwenye akaunti zako za wingu.

Ubunifu wako uko salama mikononi mwetu

Inawezekana umepiga picha iliyoshinda tuzo ya dunia au ndio kwanza umemaliza kuhariri kazi yako murua. Usijali, kila unachopakia hapa kimesimbwa fiche na tunahakikisha tumeondoa picha zote kwenye seva zetu… kwa kutumia mtindo wa Banksy.

Hifadhi taarifa za simu ukiwa unafanya kazi moja kwa moja kwenye wingu
Unaweza kuunda timu yako mwenyewe!

Furahia zaidi ukiwa na Premium

Wakati mwingine unahitaji kitu cha ziada kidogo tu. Boresha hali yako ya utumiaji wa iLoveIMG na uongeze ufanisi wako wa kuchakata picha

Tengeneza timu

Vipengele vya Premium vinajumuisha kuongeza wanachama na kusimamia watumiaji katika timu yako, ili kushiriki vitendo chaguomsingi na mipangilio iliyowekwa mapema. Unaweza kutuma alama maalum, ukubwa wa picha ambazo uliwekwa awali, n. k.

Wezesha zana zako

Zipeleke zana zetu katika kiwango cha juu zaidi na kamilisha kazi zako kwa haraka zaidi kwa kuongeza uwezo wa ukubwa wa faili na idadi ya faili unazoweza kuchakata kwa mkupuo. Tunatoa eneo la kazi lisilo na matangazo na ufikiaji usio na kikomo kwa huduma zetu zote.

With Love

Kwa kuwa kila hitaji lako la IMG linaweza kuwa changamoto yetu inayofuata

Lo! Kuna tatizo na muunganisho wako wa Intaneti...